USHAURI WA MAHUSIANO NA NDOA
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.
Go down
avatar
Admin
Admin
Posts : 2
Join date : 2024-10-15
https://syaga.africamotion.net

MAISHA HAYA Empty MAISHA HAYA

Tue Oct 15, 2024 12:19 am
Habari sorry kwa kukutumia meseji USIKU huu naomba nishauri jambo Kaka hivi mtu anaweza kupenda na asikuonee huruma hata katika nyakati ngumu unazopita na uwezo wakukusaidia ??
Iko hivi nipo kwenye mahusiano kama mwaka sasa japo hatupo mkoa mmoja  kuna kipindi nilifukuzwa kazi sasa nikawa nacheza mchezo kila mwisho wa mwezi nikamwambia huyu mpenzi wangu naomba nisaidie kutafuta kazi nacheza mchezo kila mwisho wa mwezi sasa nikichelewa kutoa hiyo pesa natolewa nakumbuka alinijibu nakushauri uwo mchezo uache iliniuma sema nikanyamaza na kazi hakunisaidia kutafuta na uwezo Alikuwa nao
Sasa Sijui ni ubinafsi au roho mbaya au ni mtu anakuwa hakupendi 🤔 kingine ni mtu ambae akikosea anaomba msamha ukimsamehe anaahidi kukufanyia kitu lakini hafanyi  na ukisema kwanini unapenda kuahidi kitu na hufanyi anakwambia kama nimeahidi kitu sijafanya si unikumbushe sasa mimi siwezi kufanya hIvo imefika mahali naona nimechoka jamani 🥺 ukimwambia tuachane hataki nikimnyamazia anapiga simu kama Hana akili nzuri au mimi Nina mikosi labda mahali nisaidieni jamani
_______________
■Kama una jambo linakutatiza usikae nalo linaweza kuharibu hatima ya maisha yako, tushirikishe, tusaidiane na tushauriane.. Nitumie ujumbe WhatsApp 0625 791 849
______________________________
Au jiunge na WhatsApp Channel yangu kwa mahitaji ya Mchumba na Simulizi
Link https://bit.ly/4b6xGV4
________________
[ Unaweza kuuza na kununua bidhaa kupitia https://www.niuziechap.co.tz/ ]
Back to top
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum